nilipokea email ya mdada aliyejitambulisha kwa jina la CARISA SMITH,akisema amependa mwonekano wangu kupitia facebook profile yangu ivyo amenipenda tuwe marafiki, nikamwambia akuna matata,akajieleza kuwa yeye ni daktari yupo calfonia USA,ajaolewa,lakin ana watoto wawili, na mimi pia nikamwambia ni singo boy, baada ya kuchat kama wiki iv akaniambia amepata dharula anaenda HAITI kikazi lakin ameninunulia zawadi mbalimbali kama TOSHIBA LATOP 2,PRINTER 2,VIDEO CAMERA2, SIMU APPLE 2, amemkabidhi PROF.raymond harrison ambaye amekwenda GAMBIA kikazi lakin akanipa email yake na namba za simu ili niwasiliane,baada ya mawasilianno nikaambiwa nitume dolla 160 ili alipie DHL na mzigo usafirishwe, nikamwambia sina ela labda auze laptop moja ili ipatikane pesa ya kusafirishia,akaniambia airuhusiwi kuuza coz ni zawadi na ameonywa asithubutu kuuza, nikamwambia mi nimepinda kanijibu kuwa yeye ataniongezea dolla60 ivyo nitume dolla 100, apo ndio nikavuta handbrek na kufunga vioo mpaka juu,nikaacha kuwasiliana nae, aisee awa jamaa ni atari sana kama wakimpata mbulula lazima uingie kingi