Ndio yanawafany wawe matajiri uhoni tiktok kijana mdogo anapesa kisa wamamaVijana acheni kupitapita kwenye Kila tunda, mnabeba maroho machafu...
Usikute kuna vijana watatamani hii verse ingekua hivi πππ...Komwe nisipo libusu, ni kesi mahakamani
Ana yake mahabusu, kutoka siitamani
Jioni Alkasusu , aninywesha muhibani
Nilisema ninapita , ila sasa nimezama
πΉπΉ Kenzy una ufallah mwingiJikimwi atakupea, kisonono kitakuelemea!.
Shipa litakumea, komwe litakulegea!
si ulisema utapita, jikimwi amekupea!
kumbe!πΉπΉ Kenzy una ufallah mwingi
hahahahUsikute kuna vijana watatamani hii verse ingekua hivi πππ...
Komwe nisipo libusu, ni kesi mahakani
Ana yake mahabusu, kutoka sitamani
Nikiichakata mbususu, utamu hadi kichohoni
Nikisema napita, ila sasa nimezama.
Muhimu uwe content creator tu af mengine utajiongezaTupeaneni hayo mapesa kumbe rahisi
Mimi nimeambulia "Kiwanja kama Mkapa, ma goli twashangiliya". Sasa kweli kwa mdebwedo huo utamu utautoa wapi! Huyo atakuwa single mother au kahaba! Chai!!!!Nilisema napita
1. Ninapenda anunavyo, hima kumbembeleza
Hasira za hovyo hovyo, jikoni nikimtweza
Nilivyomuwaza sivyo, hakika ameniweza
Nilisema ninapita, ila sasa nimezama
2. Komwe nisipo libusu, ni kesi mahakamani
Ana yake mahabusu, kutoka siitamani
Jioni Alkasusu , aninywesha muhibani
Nilisema ninapita , ila sasa nimezama
3. Sijaomba ananipa ,bila pupa najiliya
Mihogo chuzi la papa, viungo anijaziya
Kiwanja kama Mkapa, ma goli twashangiliya
Nilisema ninapita , ila sasa nimezama
4. Pendo amenigandisha, digrii amezihitimu
Shingo akiizungusha , aah anipa wazimu
Pindi akilifundisha , haumalizi utamu
Nilisema ninapita , ila sasa nimezama
Abuuabdillah βοΈ
0744883353
πSaa tatu na nusu sasa ata kikao cha wakuu wa nchi hakijaanza