Wilbert1974
JF-Expert Member
- Feb 10, 2011
- 1,632
- 481
Nipochomeka
Daah akaichomoa; akadai hajazoea!
Nikataka kuchomeka tena akawa ameishikilia hataki niingize!
Ikabidi nimvizie akiwa amelala.
Safari hii nikachomeka taratibu; alipostuka akuta nimeishachomeka, akaichomoa tena!
Hapo nikaamua nimuache angatwe na mbu hadi asubuhi sababu hajui umuhimu wa chandarua.
Mbona unatabasamux2? Ulifikiri nini?
Daima usisahau kuchomeka chandarua, maana MALARIA HAIKUBALIKI.:nono:
Mambo yetu ya 6x6 eeh!?wilbert bhana,sa m nkajua nanii