kISUKARI KWELI UMEKOMAA,
Unajua wengine wanachagua weeee,muda ukipita wanakuwa wamechoka new blood wameingia wanaanza maugomvi na wadada watakaokuwa kwenye chart that time,Muda nao unasaidia kukukumbusha nini unatakiwa uamue,mi kuna mmoja sasa ananisumbua sana sasaivi nilipomuhitaji muda ule yeye hakuwa sijui niseme hakuwa tayari,au sikukudhi vigezo vyake,sijui sasa hivi vigezo ninavyo?sasa nahitajika anyway....age and experience matter,Thats why napenda sana kusikia wenye uzoefu 5 to 10 yrs in Marriage,hata huku kazini experience matter bwana.....HERI YA MWAKA MPYA 2013 KWA WOTE.....