Nilimpenda rafiki yangu kipenzi

zagarinojo

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2020
Posts
2,622
Reaction score
2,865
Habari wana JF. Najua ni ngumu kukubaliana na maneno yangu lla ndivyo ilivyo. Kuna muda unakuwa na hisia za kimapenzi kwa rafikiyo mpaka unatamani bora msingekuwa marafiki?

Kuna wakati penzi halichagui wa kumwangukia unajikuta unampenda MTU/rafiki yako wa karibu. Nakumbuka tulisoma na mdada mmoja tuliyekutana nae secondary alikuwa akisoma masomo ya biashara Kama mimi alikuwa mwarabu flani hivi mkali,mpole na asiye na makuu.

Siku ya kwanza na report form 4 ile naingia class jicho langu likawa la kwanza kumuona yeye. Nikafikiria kwa jinsi huyu mtoto alivyo mweupe hivi na mwarabu atakuwa anajishembendua sana na sikudhani kama ntazoeana naye..

Ila mwisho wa siku mazoea yalianza nilipogundua she's interested in business studies ambayo na Mimi ndo masomo niliyokuwa napenda.
Tulianza kujuana pale kwenye group discussions za business .Alipoona na mimi niko vizuri kwenye business studies tukaanza kushare ideas katika discussions.

Taratibu tukaanza kuzoeana mpaka tukawa tunapiga stori za nje ya masomo na tukawa tunachat on holidays lakini nilianza Kuwa na hisia juu yake nilitamani sana wenda tusingekuwa marafiki ningemwambia ukweli juu ya hisia zangu Ila alizidi kuniumiza moyo kila nilipomuona ilihali nampenda Ila hakukuwa na namna kwasababu alishakuwa rafiki yangu tayari.
 
Mi nilishakula tunda kimasihara na rafiki yangu wa kike. jamaa yake alikua akimpiga anakuja kwangu namfariji kwa maneno mazuri huku nimemkumbatia tunakunywa halafu namsindikiza kwake,akaanza kunisifia na kuniambia eti mtu wangu ana bahati.,siku moja akapigwa sana na jamaa yake akaja usiku halafu likashuka bonge la mvua na radi,akakataa kulala peke yake akaniomba nimfariji kwa vitendo.Urafiki wetu unaendelea mpaka leo ingawa aliolewa nje ya nchi.
 
Nisamehe Mkuu sikujua kama JF ipo kwa ajili ya wanachuo tu
Hapana Jf ni ya wote. Sijawaza tu kama kunaweza kuwa na watu wa umri wa form four na wakawa na mada za aina yako.
Amini nakwambia kama ukikutana na mm halisi na kama umri wako kweli ni form four usingejibu namna ulivyojibu.
Endelea kufurahia jamii forum.
 
Dogo Mda wa shule u una fanyaje umu ..au una subiri kwenda chuo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…