MBWAMBO NICHOLAUS JR
JF-Expert Member
- Oct 27, 2018
- 423
- 434
Kivipi wakati yeye alileta upuuzi kunifanyia ujingaMlilizana.ngoma dro
Sasa hivi tumekutana analalamika Kuwa nilimtenda alilia sana aliumia sanaMbona hamna sehemu alipolia
Sasa hivi tumekutana analalamika Kuwa nilimtenda alilia sana aliumia sana
Ndio mana nikaona heri nishare nanyiHicho kilio cha kihuni
nichukulie nafasi mkuu, siku hizi adimu sana huku ila nipo
Hii nimeleta kama story zingine kushare idea kuona tabia za binadamu walivyo na by the way tulikua tunakumbushiana story za nyuma tuuCjaelewa tukushauri nn mkuu, au ametaka mrudiane. Kama mmeonana na kupiga story mkakumbushia na story za enzi zenu mbona kawaida tu, ingekua amekutaka tena na ww upo kwenye relationship ndo wadau wangekushaur lakin ni marafik nyie na mnapiga story za kawaida sasa tukushauri nn dogo
For sureHayo ni matokeo ya alichokipanda