chitanda.nyoka
Senior Member
- May 3, 2012
- 193
- 44
Wa tz cjui tumelogwa na nani?niliitwa kwenye interview na nimetoka mbali from nanyumbu mtwara huko cyo halafu nimepigiwa cm j5 natakiwa dsm ijumaa nimejitahidi nimefika dsm but nimechoka vibaya nimeingia kwenye interview nikakuta wazungu 2 mbongo mmoja coz ni mara 1 kupga interview nilikua nnahofu kinoma na wale wazungu ikizingatia english yenyewe ya kuungaunga lakini cha ajabu wale wazungu walikua wanajitahidi kuongea english rahisi hili niwaelewe na nilikua nna wajibu fresh hla huyo mswahili alikua anaongea english km ananikoma misamiati migum yaani nnarudi gheto nnacheki kamusi ni vitu vinaeleweka niliulizwa maswali 8 mzungu 3 mbongo 5 ya mzungu nimepga ya mtz yote nimein
Hahahahahah!!! Kumbe ni weewe.. Nilikuweza kwelikweli, na sikujua kama upo JF.. Nilitoka Mwanza mpaka Dar ili nije niwa'interview.. Pole sana. Ila hukuwa peke yako, wengne walifanya jana na kesho yake..
Kwi kwi kwi kwi.. Hata kujieledha hujui, ningekusaidiaje?? Teh teh teh!!
ushawahi kuelewa kingereza cha mkapa?Ila kweli, ni tatizo letu waswahili kuprove tunajua kiingereza au lugha zingine za watu kwa kutumia misamiati. Ndipo hapo ubapojiuliza lengo la lugha hasa ni nini?
Nimefindishwa na wazungu na kufanya nao kazi, wanatumia lugha rahisi sana! Jana nilikuwa namsikiliza Hilary Clinton, lugha yake hadi raha.
Ngoja aje Kiranga na wenzake hadi kero!
Wabongo full kubaniana, huyo mbongo alikuwa anakukomoa labda tayari alikuwa ana mtu wake akataka wewe uchemshe....
Ila kweli, ni tatizo letu waswahili kuprove tunajua kiingereza au lugha zingine za watu kwa kutumia misamiati. Ndipo hapo ubapojiuliza lengo la lugha hasa ni nini?
Nimefindishwa na wazungu na kufanya nao kazi, wanatumia lugha rahisi sana! Jana nilikuwa namsikiliza Hilary Clinton, lugha yake hadi raha.
Ngoja aje Kiranga na wenzake hadi kero!
kiongozi!wala sio kwamba umelogwa ingawa nalo lawezekana,upo kwenye mapito tu,ambayo katk maisha watu hupitia mapito tofauti.Huo ni wakati wako,kumbuka kunawakati wa kupata,wakati wa kukosa,wakati wa kulia,wakati wa kucheka.Wakati wako haujafika,wakati ukifika mambo huwa mtelemko.Wakati ukifika utajishangaa tena kama unavyojishangaa sasa.kuwa mvumilivu,No sweet without sweat!
Mkuu, Wakati ndio sasa!