Kutubu ni nini?We mjamaa daah! Tubu hiyo dhambi isije ikavunwa kwenye uzao wako.
kweli mkuu mi nimejifunza yani hata watoto wangu siwezi kuwalea mazingira hayo ndakuwa makin saanaKutubu ni nini? Tuanzie hapa, Anamtubia nani?
Ili iweje? Hili swala halihitaji inshu wala mambo ya kutubu!
Ni swala la malezi na makuzi ya wahusika.
Na bila shaka kupitia malezi na makuzi aliyokuwa nayo na mazingira yaliyopelekea yote hayo kutokea, jamaa anaweza kuyazuia ili yasitokee kwa wanae.
yah mkuu na ninacho ipendea JF tunatumia id fake ko atakaye soma ajue kuwa haya mambo yapo na nikuwa makini saana na watoto wetu na mimi ndo mara ya kwanza naeleza hili jambo humuWatu wengi wana dark story wengine hufanikiwa kuificha mpaka mwisho wa maisha yao lakini wek mua kufungungine huamua kufunguka
bila kapicha CHAI CHUNGU hainyweki2010 iv