Niliacha Ualimu sijutii

pevu

Senior Member
Joined
Sep 2, 2016
Posts
110
Reaction score
70
Nawapa pole Sana walimu kwa Kazi kubwa mnayo fanya na kwa kuperekeshwa kila kukicha pasipo faida.

Nyie ndio watumishi wazarendo wa nch yetu yenye kila utajiri, walimu wenzangu tangu niache hi Kaz ya kitumwa nazid Kuwa mfano kwa wanao ogopa kuacha hi Kaz, eti wakizan kwamba watafirisika au watachoka Zaidi ,, Poleni Sana mana tangu niache hii kaz hali bado ni ileile, miaka Sita mtu hajapanda daraja, bado bodi ya mikopo 15%, Na mwez huu hawajaona changes ya kufidia 15%.so sizani kaa watafundisha kwa ufasaha maana hawaelewi nini walicho ikosea serikali Yao sikivu.. Kiukweli mwalim jipange jiamini nje ya ualim inawezekana kutusuwa tafuta mtaji kwanza,, njoo huku mtaani utafurahia
 
Lengo la maisha ni furaha,kama walimu wanaona wanapata furaha kucheza na watoto,acha waendelee,ila kama hawana furaha,nawashauri na wao waache mara moja kama wewe ulivyoacha
 
kama wameridhika na hali wanayopambana nayo ni sawa kila mmoja apambane na hali yake hata wewe mkuu unapambana na hali yako na umeridhika
 


May Allah bless Me and You
 
Kwa uandishi wako wa kushindwa kutofautisha 'r' na 'l' afadhali uliacha tu, maana product ambazo ungetoa zingekuwa vilaza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…