Yaani kijana alipata mdada wa kimakonde ,toto limejaziajazia kila kona na amechanja machale uso mzima na pia alikuwa na ndonya ,vyote hivyo vilimpendeza na kumfanya kijana ashindwe kujizuia na kumtaka kimapenzi ,alifanikiwa sana sana na jamaa alijifua mpaka akachoka hamu yake na kuwa yuko hoi ,alimradi kijana alijiona keshamaliza nguvu na keshafurahia alilolipata ,ila mdada wa kimakonde alibaki kama anaeshangaa au hamu yake haijafikishwa pale alipotaka na kutarajia.
Kijana akaistukia ile hali lakini alikuwa yuhoi bin taaban ,akauliza huku sauti ikiwa inatoka kwa mbali ..vipi mbona kimya ? yule dada wa kimakonde akasema ..Nilambe ndonya !! Kwa sauti ya kimahaba ! Dah jamaa nusula azilai maana hakuchekeki wala hakutegemea aliona keshamaliza.