The patriot man
JF-Expert Member
- Aug 16, 2015
- 969
- 1,065
ndo nampango wa kufanya hvo brohem kamuangalie mtoto bro kafanana na ww au wapeleke ndg jamaa na marafk wakamuangalie kama ni copy yako au lah
garama ni shingapi?Kafanye DNA test mbona rahisi tu
naunga mkono hoja.Nimeishia hapo umesema una mwanamke muongo sijaendelea mi nakushauri achana nae najua nikiendelea kusoma nitakuta visa vyake tu wakati we unampenda, huyo muache.
hapa ndo nilikosea mkuuMkuu ,tatzo umelitafuta mwenyewe ,
Kulikua na haja gani kuntafuta na kumuuliza kwamba ana mtoto wakat yy mwenyewe kakausha tu