Niko njia panda naombeni msaada

Mama gani anapigia viboyfriend simu?

Real african mama would never do that shit,
Tena akisikia huli coz of a boy, damn she gonna beat the shit out of you

Piga chini husimpotezee muda kwa huruma zisizo na msingi

You are very right kuhusu mama kuingilia show. Kama mimi kuanzia hapo wote nisingewachukulia siriaz tena
 
Huyo sio mke wa kuoa kbs, angekuwa wa kuoa asingekuwa anakukosoa hivyo angekuwa mstaarabu, mvumilivu na anatumia busara kwny kuongea. Huyo ana kiburi na mjuaji atakuua na presha nakushauri achana naye huyo ana mtu tayari anakufukuza kiphysicogia kama hujui
 
Wewe usitusumbue, inaonesha tayari umeishafanya maamuzi kabla ya kuja hapa.
 


Huyu inaonekana kakata tamaaa ya kuolewa ili ajikomboe kimaisha na ndiyo maana alikuwa anakuongelesha mafumbo ili nawe ushituke ujisikie guilty then uingie kichwa kichwa umuoe.
 
Uyo dada anakusimanga sana,,sasa mambo ya kwetu nilikua nakula leo umezingua wanasema apigi msosi kwaajili yako.
 
yani kwa kweli mi naona ni chenga tu, na kigezo cha kua mke wangu hana ata kimoja zaidi ya ile portability yake tu, ila sifa zingine hana
Kwani wewe una nini cha ajabu? Unaonekana kinakuuma huyo dada kusema angekuwa na mwenye hela unahisi hufikii viwango sasa kuokoa your ego unaamua kumdegrade huyo binti eti hana kigezo cha kuwa mke wako kwani ulishikiwa bunduki uwe nae... man up boy
 
Tupa kule huyo ni shetanii..
Wanawake wapo chungu nzima...mizigo ya nini brother..!?!!
 
Kuna sehemu umeruka mkuu! Kama Kweli unataka ushauri sema kile ambacho hujasema!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…