multitalented123
Senior Member
- Nov 30, 2015
- 126
- 47
kwanini unasema ni mke wa kuoa??Huyo ndie mke wa kuowa
Nimeshawahi kujifunza kitu na kitu chenyewe ni kutorudi nyuma kama umeamua kusonga mbele songa mbelemwaka jana mwishoni kuna msichana nilianza nae uhusiano wa kimapenzi japo kua rafiki zangu karibu wote hawakuniunga mkono mimi kua na yule dada. nami nilichukulia kawaida tu ni maoni tu ambayo watu wanweza wakazungumza.
mwanzoni mwa mwaka tukiwa katika penzi zito kuna maneno aliyokua anaongeaga nami nilikua siyapendi japo sio mara zote nilikua nikimkaripia kuhusu kauli zake,
mara utamsikia akisema umenikuta kwetu nikiwa nakula,navaa na chochote ninachotaka kutoka kwetu nakipata,
mara pamoja na kwamba natongozwa na watu wenye hela na magari ninawakataa nimeamua kukupenda wewe kwa sababu unamapenzi ya kweli japo hauna pesa bado, mara saa ingine nikisafiri ananiambia ulienda kwa wadada wengine.
imepita kipindi hivi kama mwezi hatujawasiliana vizuri na juzi nikakaza sitaki mawasiliano nae tena leo mama yake mzazi kanipigia simu ananieleza kwamba yule dada hataki kula wala kusikia chochote hivyo anaomba nimsamehe mwanae!!!
na mimi sipo tayari kabisa kua nae tena kulingana na sababu hizo na zingine nyingi. sasa wakuu nifanyeje???
na dada anataka kuolewa lakini mi ndo kwanza nishabadilisha maamuzi
msaada samahani....
mtu kukupenda sio kigezo cha kumwoa wala kufunga ndoa swala ni kwamba huo upendo uko kwenye nini?? kama upo kwenye mali siku mali zikiisha basi hakuna upendo, na kama anasema napenda tu bila masharti wakati mi naona sio hivo ya nini kuendelea kua nae??Acha utoto, huyo binti anakupenda kwa dhati ndio maana muda mwingine anakutingisha aone msimamo wako. Nakushauri fanya haraka mfunge ndoa
yani kwa kweli mi naona ni chenga tu, na kigezo cha kua mke wangu hana ata kimoja zaidi ya ile portability yake tu, ila sifa zingine hanaWe unaonaje,anakupenda na kukidhi nusu ya vigezo vyako?
Basi sawa,tii moyo wakoyani kwa kweli mi naona ni chenga tu, na kigezo cha kua mke wangu hana ata kimoja zaidi ya ile portability yake tu, ila sifa zingine hana
Vipi uko darasa la ngapi hapo kwenye shule ya kata?.Ukijibu hilo msaada nakupa napesa nakutumia ok?mwaka jana mwishoni kuna msichana nilianza nae uhusiano wa kimapenzi japo kua rafiki zangu karibu wote hawakuniunga mkono mimi kua na yule dada. nami nilichukulia kawaida tu ni maoni tu ambayo watu wanweza wakazungumza.
mwanzoni mwa mwaka tukiwa katika penzi zito kuna maneno aliyokua anaongeaga nami nilikua siyapendi japo sio mara zote nilikua nikimkaripia kuhusu kauli zake,
mara utamsikia akisema umenikuta kwetu nikiwa nakula,navaa na chochote ninachotaka kutoka kwetu nakipata,
mara pamoja na kwamba natongozwa na watu wenye hela na magari ninawakataa nimeamua kukupenda wewe kwa sababu unamapenzi ya kweli japo hauna pesa bado, mara saa ingine nikisafiri ananiambia ulienda kwa wadada wengine.
imepita kipindi hivi kama mwezi hatujawasiliana vizuri na juzi nikakaza sitaki mawasiliano nae tena leo mama yake mzazi kanipigia simu ananieleza kwamba yule dada hataki kula wala kusikia chochote hivyo anaomba nimsamehe mwanae!!!
na mimi sipo tayari kabisa kua nae tena kulingana na sababu hizo na zingine nyingi. sasa wakuu nifanyeje???
na dada anataka kuolewa lakini mi ndo kwanza nishabadilisha maamuzi
msaada samahani....
Sioni kama kulikuwa na sababu ya kutaka msaada hapa wakati maamuzi unayo wewe. Umeshamuona kuwa hana vigezo vya kuwa mke,mwache alie,atazoea aendelee na maisha yake,kuendelea kuwa naye wakati moyo wako haupo tayari ni kuendelea kumtesa.mtu kukupenda sio kigezo cha kumwoa wala kufunga ndoa swala ni kwamba huo upendo uko kwenye nini?? kama upo kwenye mali siku mali zikiisha basi hakuna upendo, na kama anasema napenda tu bila masharti wakati mi naona sio hivo ya nini kuendelea kua nae??
Hapo njia panda ulipo, heri ufate njia ya kushoto