U Ubungoubungo JF-Expert Member Jul 28, 2008 2,502 739 Jun 3, 2010 #1 hivi nani anapigwa picha hapa Attachments nani anapigwa picha hapa.jpg 42.7 KB · Views: 189
U Ubungoubungo JF-Expert Member Jul 28, 2008 2,502 739 Jun 3, 2010 Thread starter #2 hii https://www.jamiiforums.com/attachment.php?attachmentid=10709&d=1275572133
Sajenti JF-Expert Member Apr 24, 2008 3,651 412 Jun 3, 2010 #3 Mi nilifikiri wamegeuza migongo...ah! hapo kukutambua ni ngumu mazee!!ainkiller:
U Ubungoubungo JF-Expert Member Jul 28, 2008 2,502 739 Jun 3, 2010 Thread starter #4 pale yeye atasema..oh nilitoka vizuri kweli hapa...na mwingine anasema, mimi ndo nilionekana vizuri zaidi kuliko wewe..hahaha.
pale yeye atasema..oh nilitoka vizuri kweli hapa...na mwingine anasema, mimi ndo nilionekana vizuri zaidi kuliko wewe..hahaha.
TzPride JF-Expert Member Nov 2, 2006 2,616 1,167 Jun 3, 2010 #5 Hiyo ni kiboko! Mantiki yenyewe ya kupiga picha huku huonekani ni kitendawili! Yaani unamwambia mpiga picha akupige hukku umejificha..duh!
Hiyo ni kiboko! Mantiki yenyewe ya kupiga picha huku huonekani ni kitendawili! Yaani unamwambia mpiga picha akupige hukku umejificha..duh!
U Ubungoubungo JF-Expert Member Jul 28, 2008 2,502 739 Jun 3, 2010 Thread starter #6 lakini kusema kweli wamependeza. nguo nyeusi wote, afu uyo mpiga picha kavaa gauni zuri kweli..hahaha.
lakini kusema kweli wamependeza. nguo nyeusi wote, afu uyo mpiga picha kavaa gauni zuri kweli..hahaha.
kapug Member May 31, 2010 39 6 Jun 4, 2010 #7 Teheetehee tehetehe hihi hihi yaani hii funga kazi. Ubungoubungo said: lakini kusema kweli wamependeza. nguo nyeusi wote, afu uyo mpiga picha kavaa gauni zuri kweli..hahaha. Click to expand...
Teheetehee tehetehe hihi hihi yaani hii funga kazi. Ubungoubungo said: lakini kusema kweli wamependeza. nguo nyeusi wote, afu uyo mpiga picha kavaa gauni zuri kweli..hahaha. Click to expand...
Bourgeoisie JF-Expert Member Mar 26, 2009 656 162 Jun 4, 2010 #11 Huyo ni askofu yuko altare anawapiga picha masista, wake za mapadri
U Ubungoubungo JF-Expert Member Jul 28, 2008 2,502 739 Jun 5, 2010 Thread starter #12 Bourgeoisie said: Huyo ni askofu yuko altare anawapiga picha masista, wake za mapadri Click to expand... hahaha, kumbe askofu anavaa gauni kama hilo..hahaha. sijawai kuona masista wanavaa nguo nyeusi izo...hao basi ni wakwanza...ila picha inapendeza kwakweli..
Bourgeoisie said: Huyo ni askofu yuko altare anawapiga picha masista, wake za mapadri Click to expand... hahaha, kumbe askofu anavaa gauni kama hilo..hahaha. sijawai kuona masista wanavaa nguo nyeusi izo...hao basi ni wakwanza...ila picha inapendeza kwakweli..