Nikipigwa picha hapo unanitambua kama ni mimi?

Ubungoubungo

JF-Expert Member
Jul 28, 2008
2,502
739
hivi nani anapigwa picha hapa
 

Attachments

  • nani anapigwa picha hapa.jpg
    nani anapigwa picha hapa.jpg
    42.7 KB · Views: 189
Mi nilifikiri wamegeuza migongo...ah! hapo kukutambua ni ngumu mazee!!:painkiller:
 
pale yeye atasema..oh nilitoka vizuri kweli hapa...na mwingine anasema, mimi ndo nilionekana vizuri zaidi kuliko wewe..hahaha.
 
Hiyo ni kiboko! Mantiki yenyewe ya kupiga picha huku huonekani ni kitendawili! Yaani unamwambia mpiga picha akupige hukku umejificha..duh!
 
lakini kusema kweli wamependeza. nguo nyeusi wote, afu uyo mpiga picha kavaa gauni zuri kweli..hahaha.
 
Huyo ni askofu yuko altare anawapiga picha masista, wake za mapadri

hahaha, kumbe askofu anavaa gauni kama hilo..hahaha. sijawai kuona masista wanavaa nguo nyeusi izo...hao basi ni wakwanza...ila picha inapendeza kwakweli..
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom