Nikikukuta sitakuacha tena

La gioconda

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2015
Posts
701
Reaction score
1,310
ndugu zanguni usiombe msiba ukukute usikie tu kwa jira
Niliwaonea huruma sana hawa binadamu wenzangu na muda mwingine kutokwa na machozi pindi nilipo wakuta wakipewa kichapo baada ya kukwapua vipochi vya watu sikujua kama huruma ile ni kwasababu hayaja wahi kunikuta

Ila kwa walichonifanya leo kunichukulia mia tano yangu niliyotoka kukopa kwa mama Aisha ili niweze kusogeza siku nimeapa nikimkuta mkwapuaji yoyote anapewa kisago sita muacha nami lazima nimpe za uso maana wamesha nipandisha mori .

Ile huruma niliyokuwa nayo mwanzo tupa kule lazima aonje mkong'oto wangu japo sijui kurusha hata ngumi ila nitaenda judo kwa ajili yao
 
Zimwi likujualo halikuli likakwisha.

Hawa ni kuwatandika tu hatakama unawafahamu.
 
Hahaha

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
Yani kweli mia tano ndio unataka utoe uhaibwa mtu? Si ufanya kama umetoa sadaka tuu?
 
naona amekurudisha nyuma sana mkuu

Sent from my HUAWEI Y330-U11 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…