Nikiingia Ikulu kesho AGREY MWANRI WAZIRI MKUU


uingie ikulu kesho?,duh hizo ndoto balaaa
 
Mh Mwanry, atadhibitisha ubora wake endapo hatua za kisheria zitachukuliwa dhidi ya watu wanaotuhumiwa kufuja pesa ya umma. Akishindwa, basi ajione aliko (ccm) hapamfai na wakubwa wake wanamuona msaliti.
 
Pinda alikuwaje kabla ya uwaziri mkuu na sasa yukoje, then jadili kuhusu Mwanri atakuwaje akiwa PM
 
kwakweli hata mimi japo si mchaga lakini ni mwana kafu ambaye nliachana nayo mwaka 2006 na sasa ni chadema damu lakini agrey mwanri ni bonge la kiongozi anafaa sana kama hapa chadema tukipata jembe kama yeye ni zaidi ya simba au yanga wamsajili messi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…