Jipambanie wewe, wao watapambana kivyao ishi kama wewe usiishi maisha yao.......Nikifanikiwa kuzeeka
Nitawaambia wanangu nitakaojaaliwa, wasifikiri nilicheza kwa kuwa hawajapata urithi wa maana. Niliwahangaikia sana, lakini jitihada haikushinda kudra.
Nitawaeleza waishi vizuri na watu, Ili wasije kupata tabu.
Maringo
Mimi naamini kwamba pamoja na kujitafutia vya kwangu, ni vema nikawatafutia na wao kwa kiasi. Si kwamba nawadekeza na kuwafanya wajidekeze kwa kujua walishatafutiwa.Jipambanie wew ,wao watapambana kivyao ishi kama wew usiishi maisha yao
Hapa nakuunga mguu safi sanaMimi naamini kwamba pamoja na kujitafutia vya kwangu,ni vema nikawatafutia na wao kwa kiasi.Si kwamba nawadekeza na kuwafanya wajidekeze kwa kujua walishatafutiwa.La hasha!Ni namna ya kuwafundisha kuwapenda,kuwajali na kutambua uwepo wao.
Tukienda mbali zaidi,kuna familia/watoto wamekuwa wakiachwa bila kitu.Kwamba wakikua wajitafutie kwa jasho lao.Wengi wao wamekuwa na kuishi kwa shida sana hasa wazazi ambao ndiyo nguzo zao za tangu utoto wanapofariki.Nianavyo basi,ni vema kuwaacha watoto,angalau,na sehemu ya kudumu ya kuishi/nyumba,elimu,upendo,kujitambua na kujithamini wao na wengine wanaowazunguka.Na ikibidi,ni vema kuwaacha hata na rasilimali fedha wawe imara maishani.
Yah umechambua kwa kina mkuu ila sio kuwalea kimayai mayai kila kitu uwaletee mezani, wazazi wakitoweka hizo Mali na pesa watazitumia kuongeza wake na michepuko ya kufaa mutuuMimi naamini kwamba pamoja na kujitafutia vya kwangu,ni vema nikawatafutia na wao kwa kiasi.Si kwamba nawadekeza na kuwafanya wajidekeze kwa kujua walishatafutiwa.La hasha!Ni namna ya kuwafundisha kuwapenda,kuwajali na kutambua uwepo wao.
Tukienda mbali zaidi,kuna familia/watoto wamekuwa wakiachwa bila kitu.Kwamba wakikua wajitafutie kwa jasho lao.Wengi wao wamekuwa na kuishi kwa shida sana hasa wazazi ambao ndiyo nguzo zao za tangu utoto wanapofariki.Nianavyo basi,ni vema kuwaacha watoto,angalau,na sehemu ya kudumu ya kuishi/nyumba,elimu,upendo,kujitambua na kujithamini wao na wengine wanaowazunguka.Na ikibidi,ni vema kuwaacha hata na rasilimali fedha wawe imara maishani.
Lakini mwishoni nitawakumbusha, washirikiane kadri wawezavyo ila wasisahau kuwa Mwisho wa Ushirika ni kugawana, wajiandae kwa Hilo.......Nikifanikiwa kuzeeka
Nitawaambia wanangu nitakaojaaliwa, wasifikiri nilicheza kwa kuwa hawajapata urithi wa maana. Niliwahangaikia sana, lakini jitihada haikushinda kudra.
Nitawaeleza waishi vizuri na watu, Ili wasije kupata tabu.
Nitawasisitizia kuwekeza japo kidogo, kwa kuwa hawajui kesho yao.
Nitawaambia kuwa penda utakavyopenda ila Kuna siku utaachwa katika mstari uliopinda sana na hutoamini, lakini ndio maisha wajiandae kupambana.
Nitawaeleza pia kuhusu wanawake na vitimbi vyao na jinsi ya kuishi nao.
Sitosahau kuwaambia kuhusu Mungu wao, na jinsi anavyoweza kuwaokoa walipokata tamaa.
Lakini mwishoni nitawakumbusha, washirikiane kadri wawezavyo ila wasisahau kuwa Mwisho wa Ushirika ni kugawana, wajiandae kwa Hilo
Maringo
Nitawaambia wanangu nitakaojaaliwa, wasifikiri nilicheza kwa kuwa hawajapata urithi wa maana. Niliwahangaikia sana, lakini jitihada haikushinda kudra.[emoji1545][emoji1752][emoji848][emoji2827].......Nikifanikiwa kuzeeka
Nitawaambia wanangu nitakaojaaliwa, wasifikiri nilicheza kwa kuwa hawajapata urithi wa maana. Niliwahangaikia sana, lakini jitihada haikushinda kudra.
Nitawaeleza waishi vizuri na watu, Ili wasije kupata tabu.
Nitawasisitizia kuwekeza japo kidogo, kwa kuwa hawajui kesho yao.
Nitawaambia kuwa penda utakavyopenda ila Kuna siku utaachwa katika mstari uliopinda sana na hutoamini, lakini ndio maisha wajiandae kupambana.
Nitawaeleza pia kuhusu wanawake na vitimbi vyao na jinsi ya kuishi nao.
Sitosahau kuwaambia kuhusu Mungu wao, na jinsi anavyoweza kuwaokoa walipokata tamaa.
Lakini mwishoni nitawakumbusha, washirikiane kadri wawezavyo ila wasisahau kuwa Mwisho wa Ushirika ni kugawana, wajiandae kwa Hilo
Maringo
Kuwalea kwa kuwadekeza hapana.Hapana kabisa. Ni kama vile mtoto wako amevunja teevee halafu hukumchapa kwa utundu. Badala yake ukamkalisha chini na kumuelekeza na kumuonya kwamba awe makini, muangalifu, mwenye kufikiria kabla ya kutaka kufanya chochote na aache uzembe.Na tabia hiyo aifanye katika kila jambo kwa umakini.Yah umechambua kwa kina mkuu,ila sio kuwalea kimayai mayai kila kitu uwaletee mezani ,wazaz wakitowek izo Mali na pesa wataztumia kuongeza wake na michepuko ya kufaa mutuu
Sikupingi mkuu endelea ku expect lakini big expectations ndio zinasababisha matatizo makubwa, muamini kijana asilimia mia tusubiri yajayoKuwalea kwa kuwadekeza hapana.Hapana kabisa.Ni kama vile mtoto wako amevunja teevee halafu hukumchapa kwa utundu.Badala yake ukamkalisha chini na kumuelekeza na kumuonya kwamba awe makini,muangalifu,mwenye kufikiria kabla ya kutaka kufanya chochote na aache uzembe.Na tabia hiyo aifanye katika kila jambo kwa umakini.
Na vilevile,unamwambia kwamba teevee ni chombo muhimu kinunuliwacho kwa fedha nyingi kiasi lakini hakina thamani kubwa kama mtoto wako/utu wa mtu yeyote.Lakini thamani ya teevee iheshimiwe ili kuonesha kujali,kutunza na kuthamini uwepo na umuhimu wake.Hapo utakuwa umempa "viboko" vikali kwenye akili kuliko viboko halisi na ataelewa unavyomjali kwa kumpatia elimu na maarifa ya maisha.
Wewe jamaa tangu uingie JF ndio kwanza Leo uongee maneno ya maana.......Nikifanikiwa kuzeeka
Nitawaambia wanangu nitakaojaaliwa, wasifikiri nilicheza kwa kuwa hawajapata urithi wa maana. Niliwahangaikia sana, lakini jitihada haikushinda kudra.
Nitawaeleza waishi vizuri na watu, Ili wasije kupata tabu.
Nitawasisitizia kuwekeza japo kidogo, kwa kuwa hawajui kesho yao.
Nitawaambia kuwa penda utakavyopenda ila Kuna siku utaachwa katika mstari uliopinda sana na hutoamini, lakini ndio maisha wajiandae kupambana.
Nitawaeleza pia kuhusu wanawake na vitimbi vyao na jinsi ya kuishi nao.
Sitosahau kuwaambia kuhusu Mungu wao, na jinsi anavyoweza kuwaokoa walipokata tamaa.
Lakini mwishoni nitawakumbusha, washirikiane kadri wawezavyo ila wasisahau kuwa Mwisho wa Ushirika ni kugawana, wajiandae kwa Hilo
Maringo
Mkuu, amini katika kutimiza wajibu wako kwa mtoto wako kikamilifu. Matokeo ni majaaliwa.Sikupingi mkuu endelea ku expect lakn big expectations ndio znasababisha mattz makubw ,muamin kijana aslimia mia tusubiri yajayo
Then........ Cc:....... [emoji1787]Kila la kheri...