Hayo maneno yenu hayo, taratibu jamani!
Kila anayepewa nafasi ya kujinadi/kutangaza nia ni lazima aseme kuwa hatalipiza kisasi akichaguliwa!! Haya maneno yanabeba ujumbe mkubwa sana. Tafadhali kama mna ugomvi wenu malizaneni huko huko mtuachie nchi yetu salama.