nikolas digala
Member
- Aug 7, 2016
- 42
- 25
Habari wakuu..
Msaada kwa anayefahamu chuo cha nirsing kinaitwa CHIMALA kipo MBEYA
kimesajiliwa na kinatambulika na serikali maana sina imani na vyuo hivi kina mtu anataka kwenda kusoma huko.
msaada wenu wadau.[emoji120] [emoji120]
mara ya mwisho kujua hakijasajiliwa ilikuwa lini mkuuLabda kama kimesajiliwa hivi karibuni. Kilikuaga gaka!
mara ya mwisho kujua hakijasajiliwa ilikuwa lini mkuu
natafuta hapa kwa mtandao siona hata official website ndo maana nna madhakaNdio kimesajiliwa. Kipo wilaya ya Mbarali kata ya Chimala. Ni njia panda kwenda Mbeya Mjini.
sion hata googleFanya ku google.
finacially am not even well... Labda nipmbe kama unajua list ya vyuo nyanda za juu kusini unaweza vitaja nifatilienursing 9months? sidhani kama kweli kinafanya vizuri kuna vyuo vingi sana vya nursing waweza chagua....kaskazini mara musoma na shinyanga kuna vyuo vizuri
elimu bora ni muhimu sana kaka hapo ufundishaji sio,hata ma drs sio kwa hiyo masomo kwa vitendo ni changamoto......nasema kwani binamu zangu walisoma hapofinacially am not even well... Labda nipmbe kama unajua list ya vyuo nyanda za juu kusini unaweza vitaja nifatilie
[emoji120] [emoji120] [emoji120]elimu bora ni muhimu sana kaka hapo ufundishaji sio,hata ma drs sio kwa hiyo masomo kwa vitendo ni changamoto......nasema kwani binamu zangu walisoma hapo
Nenda ndanda ni chuo kizuri sana kwa kozi hyo ya nursing nazani utafanikisha malengo yakofinacially am not even well... Labda nipmbe kama unajua list ya vyuo nyanda za juu kusini unaweza vitaja nifatilie
mwanzo wa mbeya mjini ni chimala? your not serious......is almost 50milesMimi nimesoma hapo chimala ipo mizani mwazoni mwa mbeya kabla ya mbeya mjini 0765782511 nitafute wasap
Naomba uedit nifutie iyo no watu wananisumbua chuo chuo si waende huko huko sitaki tena maswali ya chuo cha chimala nitatukana mtu atakaenitafuta kuanzia sasamwanzo wa mbeya mjini ni chimala? your not serious......is almost 50miles
Yaap, kuna dogo langu anapiga kitabu pale..Nenda ndanda ni chuo kizuri sana kwa kozi hyo ya nursing nazani utafanikisha malengo yako