Kwa taarifa yako hao jamaa na 3G yao ni uhakika muda wote kwa decent speed kuliko majanga ya Tigo na Voda.
Mimi ninazo line zote Tigo, Halotel, Voda na Airtel.
Utakuta wakati flani voda au tigo inakimbia balaa kisha baadae hakuna huduma ni mwendo wa 2G a.k.a GPRS ni kinyonga slow ya kichefuchefu au hakuna kabisa net hasa mida ya mchana mchana.