Ahaaa!!! Wapi ma prof wa UDSM, na wao walishindwaaaaa???
Hebu iweke hapa hiyo Math problem. Kuna magenius humu
Ahaaa!!! Wapi ma prof wa UDSM, na wao walishindwaaaaa???
Siyo Wa UDSM peke yake ni wa Dunia nzima wameshindwa kuanzia Tokyo mpaka Stanford kuja Shanghai mpaka Munich au Paris na hili tatizo limekuwepo kwa miaka 150 yaani wanahisabati wa Dunia nzima wameshindwa kulitatua kwa miaka 150!
Prof. Shayo angekuwepo (R.I.P.) angeweza kuli-Solve.
Prof. Shayo angekuwepo (R.I.P.) angeweza kuli-Solve.
Kwani mulimpa profesa J akashindwa?
Wangenipa mimi ningewapa majibu ndani ya dakika mbili!
Wameshachelewa lilikuwepo kwa miaka 150 iliyopijta lkn sasa hivi limeshatatuliwa, ila bado yapo mengine sita yamebakia yanaitwa ,,seven millenium problems" sasa yamebakia sita!
Kwani amefariki lini!