Nigerian MPs want an audit on Chinese Immigrants

Kweli

JF-Expert Member
Jul 14, 2007
1,152
302

Tunaiomba Serikali yetu ya Bongo nayo ifanye hesabu ya wachina wangapi wako nchini kihalali? Kuna watanzania wengi tu walio jela nchini China kwa makosa kama ya uhamiaji na madawa, wanateswa, wengine wanakufa lakini serikali yetu imebaki kimya.
 
Ni muhimu kufanya hesabu hii hapa kwetu,juzi juzi Angola wamefanya na kukuta wana Wachina milioni moja na nusu.
 
I have a doubt over ur statistics, byh the way did you know that Angola has only 12 milion pple. Kwa hesabu hii ina maana kila kwenye watu nane kuna mchina mmoja!!!!!
 
It was in the 'daily nation' sometime back i will look for it and put it here.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…