Nigerian Army 'Kills 300 Boko Haram Fighters'

Umuhirindahu

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2014
Posts
349
Reaction score
170
Magaidi 300 wa Bokoharam wameuawa na jeshi la Nigeria,idadi hii inapelekea idadi ya magaidi waliouwawa ndani ya siku chache kufikia 500 idadi hiyo ikijumuishwa na wale 200 waliouwawa na jeshi la Chad.

http://goo.gl/nExZUV
 
Source please wauawe tu maana tumechoka.
 
Magaidi 300 wa Bokoharam wameuawa na jeshi la Nigeria,idadi hii inapelekea idadi ya magaidi waliouwawa ndani ya siku chache kufikia 500 idadi hiyo ikijumuishwa na wale 200 waliouwawa na jeshi la Chad.

Jeshi la nigeria likiacha kuhujumiana wanaweza sana toka ajitokeze askari wa nigeria na kuanika ujinga wao wa kuhujumiana naona wanaweza fanya kitu safi sana.
 
Wanawalea wenyewe yaani upuuzi mtupu.

Halafu kumbe vijamaa viko vingi.

Misosi, silaha na matibabu wanamudu vipi huko porini? Kazi kweli kweli.
 
Jeshi la nigeria likiacha kuhujumiana wanaweza sana toka ajitokeze askari wa nigeria na kuanika ujinga wao wa kuhujumiana naona wanaweza fanya kitu safi sana.

time will tell.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…