utofauti mkubwa wa vitambulisho vyetu na hicho cha nigeria, umeona icho kidude cha katikati chenye kutunza kumbukumbu kama vile ATM Card au simcard? vitambulisho vingi vya ulaya viko hivyo. hiki cha kwetu bila icho kidude cha katikati vitagushiwa hadi tuchoke.