Mlavumbi Orijino
Member
- Feb 12, 2012
- 6
- 2
Wakuu nina mpenzi ambaye natarajia kumuoa mwishoni mwa mwaka huu Mungu akipenda. Hata hivyo kuna vijimambo vyake sijavielewa kabisa nahisi kama nadanganywa vile (kiswahili lugha maskini sana, ninamaanisha she might be cheating on me) kwani kuna siku niliwahi kumnasa kwenye computer akisoma email ambayo subject yake ilikuwa tata aliponiona akasign out haraka sana. Pia amebadilika sana kitabia hivyo naomba mnisaide jinsi ya kuhack adress ili niweze kuingia ndani ya account yake nijionee kama kuna lolote naweza kulipata. Anatumia Linux mail na Yahoo mail. Nimeona kuna watu kama e2themiza na maexpert wengine wengi najua nisaidika. Nipo taabani kweli kweli, na nikifikiria lile gonjwa letu nakonda mwenyewe.

Nakubaliana nawe kuwa kama ameshindwa kumbana ni heri aamue kuachana nae.There are three simple ways u can use. mosi. Kama una access na komputer yake waweza install keylogger. How to inategemea una tumia ipi. Mbili kama mko nae kwenye network moja waweza kuweka sniffer, ikawa ina listen kwenye ip address yake. Na tatu unaweza kutumia social engineering, ukatengeneza a fake yahoo page with password reset forms and button. then uka email link kwake with all the good proffesionals appology words kumuomba a reset password yake. I use these methods several times as part of my job. Ingawa i dont advise to do so kwa sababu unaweza kupatwa na yafuatayo.
1. kukuta hakuna baya lolote na dame wako akagundua then akakutema.
2. kama 1 lakini asikuteme ila akapoteza mvuto na wewe.
3. ukagundua ana cheat na usifanye lolote ukaishia kumuomba msamaha.
4. ukagundua ana cheat, mkaachana huku roho inakuuma.
5. which is not very likely ni kuendelea kama kawaida.
Ongea naye, mbane kiaina. achana na kujisumbua kuhack. kuna watu walishawafuma wenza wao wakaishia kuomba msamaha.