Mchafukoga
Member
- May 25, 2013
- 38
- 3
Habarin za jumapili waungwana. Natumain wote ni wazima wa afya. Naomba nishauriwe kuhusu hili. Ninampenzi wangu ninampenda sana na yeye ananipenda, imefikia hatua ya kunitaka nipeleke barua kwao ya posa.
Kuna mambo ananifanyia nikimpgia sim, mara nipo na mama, nipo church, nitakupigia baadae kidogo, nmelala na shangazi. Hivi kweli nikimuoa atanifaa huyu?
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Haya masihara yanaumiza kwelikabla hujamtema, meza panado.
tatizo nini mwenzetu embu sema post ya kwanza sikuiona
kabla hujamtema, meza panado.
Ukitaka kufikiri kuhusu hilo, meza kwanza panadol...
Mama yoyoyo mzima?
mzima long time no see brother
Hapa vipi? Au ni dawa kweli?
Back home baby