Saa nyingine baadhi ya wadada humpenda mtu baada ya kukaa naye kwa muda mrefu, we endelea kumsaidia kazi zake kama hazichukui muda wako mwingi sana na hazikucost kivile, with time, atakuja kukuona unafaa, na atakupenda, wallah nakwambia!
Baadhi ya dada zetu hawa huwa ni wagumu sana kuwaelewa, maana wakati mwingine they want what they don't want!
Na wewe unafanya izo kazi na kashakuambia akupendi itakuwa auna msimamo anakupima kuwa na maamuzi yako siku akikuambia unakataa kama yeye uone kama atakutafuta