IT is too late now, mi naona mwambieni Mzee, maana yake mie haya mambo ninayajua, mtataka heshima now kwa Baba kuja harusi, lakini ikiisha Mama yenu ndo atakula lawama kwamba anaficha ujinga wa watoto wake, kwa nini mmemwambia Mama? that tells me kwamba atakula lawama yeye.
Mwambieni mshua na hawzi fanya kitu, atachukia then atatulia, ndio utaratibu huo, hata asipohudhuria kwani nini? mkipata baraka za Mama zitatosha, na yeye atakuja kuelewa tu baadaye.
NI UJINGA ULIOPITILIZA KUTOKUMWAMBIA MSHUA .......