mwita burure
Senior Member
- Jul 8, 2016
- 192
- 39
Kama unapenda coz za afya na uwezo upo better uombe vyuo vya afya uanzie hapo!Habari wana jf nimehitimu kidato cha nne mwaka Jana na ufaulu wangu upo hivi DIV III 25 CIV D HIST D KISW C ENG C CHEM C PHYS D BIOS D GEO D B/MATH D je second selection lakini sizani kama ntachukuliwa pia nawaza kwenda private lakini nilitamani sana kusoma sayansi nifanyeje coz nacte wanaweza wasinichukue japo niliomba diploma in primary education ushauri pliz
Kk ndo ipo wapi hiyoNjoo ZNZ km uwezo wa chuo mdogo kiroho safi advance unaenda HKL, HGK au hata CBG na PCM wanachkua hata CDD ilimrad upo advance
he heeeeeKwa nini usitafute shamba ulime matikiti maji kwani nyumbani ni wapi dogo?
Degreekaribu uganda usome degree au karibu udom usome masters
Wewe acha kupoteza muda nenda kasome clinical officer coz advance c rahisi now grades zipo juu Sanaa Na ni westage of time really I tell youKk ndo ipo wapi hiyo
Habari wana jf nimehitimu kidato cha nne mwaka Jana na ufaulu wangu upo hivi DIV III 25 CIV D HIST D KISW C ENG C CHEM C PHYS D BIOS D GEO D B/MATH D je second selection lakini sizani kama ntachukuliwa pia nawaza kwenda private lakini nilitamani sana kusoma sayansi nifanyeje coz nacte wanaweza wasinichukue japo niliomba diploma in primary education ushauri pliz
Unaweza ukasoma advance so kama unayo nia kuendelea na masomo basi Unaweza ukanicheki 0656415981,nitakusaidia bila Shaka.Habari wana jf nimehitimu kidato cha nne mwaka Jana na ufaulu wangu upo hivi DIV III 25 CIV D HIST D KISW C ENG C CHEM C PHYS D BIOS D GEO D B/MATH D je second selection lakini sizani kama ntachukuliwa pia nawaza kwenda private lakini nilitamani sana kusoma sayansi nifanyeje coz nacte wanaweza wasinichukue japo niliomba diploma in primary education ushauri pliz
Asante, sijacheka toka juzi.karibu uganda usome degree au karibu udom usome masters