Nifanyeje Ili Nimsahau

Kuwa mtu wa kuimba imba kila wakati yaani ukiwa unapika imba, ukiwa unaoga imba, nina uhakika baada ya siku kadhaa utakuwa umeshamsahau
 
Dawa ya wanaoleta mada kihuni namna hii ni kujibu kihuni hivi hivi !!
 
Wala bin wala angekuwepo karibu!! Ungelala seli kwa kuharibu lugha ya wenyewe. Anyway huyu mumeo ninawalakini naye..
 
Xxaaxxaas 2 xaxaa xa xaaa xaa xa caaa xaaaaaaa
 

huwezi hata biashara ya kutengeneza vitumbua kila asubuhi? Changamka utakufa njaa..
 

In total layout sijaipenda, huu uhandishi wako wa kiuni uwe unamwandikia huyo mchepuko wako na ndiye aliye na uwezo wa kutatua tatizo lako.
 
Pole sana, ii umsahau kaa humu jamvini ujiliwaze utamsau huyo mwenza wako.
ukushindwa hilo tafuta mpenzi kama mmeachana liakini kama hamjaachana basi yeye akimwaga ugali wewe kula mboga yote akome.l
 
Ndio maana umeachwa

Umeona ugumu gani kuweka "s" humo ulipopachika "x"?????

Jikague

Unajihamishiaje kwa mwanaume???


 
In total layout sijaipenda, huu uhandishi wako wa kiuni uwe unamwandikia huyo mchepuko wako na ndiye aliye na uwezo wa kutatua tatizo lako.

Uwe na huruma basi, mwenzio ana mawazo mpk s na x anaziona zimefanana. Uwe mpole umsaidie ushauri
 
"""""Km Usaliti Ye Ndo Wa Kwnz'''''''... Nilixamfumania Mara Tatu!Roho Inaniuma Kwn Nilimpenda Xana![/QUOTE]

Na wewe ukawa wa pili???? Basi hapo ngoma drooo...unalia lia nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…