Nifanyeje Ili Nimsahau

Kama huwezi kuandika unadhani utaweza kumpa mtu mtt?,umeachwa sababu ww hufai.
 

Hahaa, kwa hiyo yy alianza wee ukamalizia sio!!! Hiyo haiko hivyo ndipo ulipoharibu akapata sababu.
 
Xaxa nyingi sana

Lugha mpya zipo kwenye evolution, inakuja
 
Xa xe xi xo xu

Sijui ni mwalimu gani aliwafundisha huo upuuzi!
 
Wa kwako bado muda ukifika utampata, fanya sana maombi mungu atasikia kilio chako.
 

kwanini unaweka X badala ya S....mfano xaxa badala ya sasa kwa nini??
 
jamani ni Kichina au Kiswahili. ? nimechoka na hawa vijana
 

xaxaxa!! xixix xaxaxi xaxoxa xuxa xaxo. fanya hivyo itakusaidia. pole
 

Unaonaje ukitulia uandike vizuri kidogo! ulichokiandika unakielewa wewe na baadhi ya watu. Tulia kama unataka tukujibu andika vizuri
 

Next time rekebisha uandishi wako bwana aaaggg! Ivi vby maaana yake nini? Wengine huwa tunashikwa na kichefuchefu tukiona hayo maandishi ya ajabu ajabu!Uminichafulia asubuhi yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…