Khaleed Shaban
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 399
- 58
Rafuta majamaa 2 watege cku akiwa amevaa kimin then waanze kumshikashika kwa nguvu bila ridhaa yake alafu wewe utatokea ghafla na kuanza kupamban na hao majamaa then wakimbie ataona unamampenda atakutafuta mwenywww
Kumbe ulishapata dem....
Kama angekuwa anakupenda na wewe angekusamehe,ila tatizo ni kwamba ni wewe tu ndo umempenda,wewe unashindwa kutumia akili ya kuzaliwa,kubaini kuwa mpenz wako atakuwa na mwanaume mwingine anayempenda na sisi wewe,angekuwa anakupenda wala usingepoteza muda kuja JF kuomba ushauri,mapenz ni kitu cha ajabu sana na mara nyingi huwa ni very automatically,wala huwezi kuumiza kichwa eti unaomba ushauri wakati mwenzako hana time na wewe,tumia akili wewe!
Ha ha ha na lile pozi lako la kwenye maua pale fb lol mbavu zangu mie, kama nyuki vilendio ni ww kwan unajifanya ujui?
Ha ha ha na lile pozi lako la kwenye maua pale fb lol mbavu zangu mie, kama nyuki vile
umemkosea nn?