Nifanye nini nipendwe

acha kupenda. ndo utapendwa ukibaki unalialia deilee utaendelea kupata tabu sana.
 
Ah wapi? Sijawahi liwa na mtu kwasababu ya id yake. Siliwi hovyo hovyo bana. Am just having fun here. Aliyenila hata hajaweka avatar..katulia tuliii
Walimwengu kumbe tyar wamechonga barabara
Ndo bas tena nshaahirsha
 
Umeweka pesa kama mbadala wa upendo, mwanamke ni complicated sana, anataka mwanaume mwenye pesa, wakat huo huo anayejua mapenzi, wakat huo huo anapenda attention wakati huo huo anapenda handsome na mtanashat, ukiwa na pesa lakin muuza mkaa kuwa na uhakika tu lazima utachapiwa, na ukiwa mtanashati lakin pesa hauna utachapiwa tu, ukiwa mtanashati pesa unazo lakin mapenzi hujui ataliwa na muendesha guta mwenye mtalimbo hawa wa ndugu ni kuwa nao makini tu usiwachukulie serious sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…