Nifanye nini nipendwe

Dr leader

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2016
Posts
1,080
Reaction score
1,452
Nifanye nini nipendwe

Hodi hodi wanakao,khabari zenyu wazima
Si fujo njo'ni kikao,sitaketi nasimama
Na'ndika kwenye kibao,mengi yananisakama
Nifanye nini nikundwe

Pesa ni nyengi natoa,hivi sababu ni yepi
Mapenzi tele uchao,bado ninatoka kapi
Kula yaumu vibao,n'juzeni nifanye kipi
Nifanyenini nikundwe

[emoji2398]Abuuabdillah [emoji1614]
 
Mungu tu ajatukutanisha mi na wewe
 
Cha kufanya ili upendwe ni
Jipe nafasi ya kukutana na MTU sahihi katika maisha yako!
 
Badili ID utawapata kwa wingi sana akina damned demi mkuu![emoji41][emoji41][emoji41]
 
Lilia uzima ndugu, kupendwa ni majaaliwa[emoji120][emoji120]
 
Ah wapi? Sijawahi liwa na mtu kwasababu ya id yake. Siliwi hovyo hovyo bana. Am just having fun here. Aliyenila hata hajaweka avatar..katulia tuliii
ila napenda sana altitude yako kwenye mazungumzo yasiyombariki mtu kama haya,yaani huwa hupanic na wala hutukani ovyo!Huenda nipo very wrong na ninakuonea kukuita damned demi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…