Nifanye nini Baada ya ku-root simu ?

Raaj

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2013
Posts
205
Reaction score
29
Habari wana jf hatimaye Leo nimefanikiwa kuroot simu yangu kwa kutumia flamaroot sasa naomba msaada wenu hii flamaroot Niki I uninstall kuna tatizo lolote?
 
Naomba Masada kuhusu customRom na jinsi ya kuipata inayoendana na simu yangu aina ya Samsung i8268
 
Msaada please recovery mode ya hii simu yangu inaleta maandishi ya Korea sasa siyaelewi naomba msaada please nataka kuweka customrom.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…