undefeated
Member
- Jul 4, 2013
- 22
- 5
Nilikuwa kwenye relationship na mtu kwa miaka miwili.kwa kipindi chote nimekuwa nmeridhika nna furaha mvumilivu kumsikiliza kila kitu anachofanya na kumpa sapoti kwa uwezo wangu.
Ikatokea sijui nseme alijiona anapendwa sana alianza kunifanyia vituko ukimpigia simu hapokei ukirudia tena akipokea ananitukana hakuona mara ya kwanza au atakujibu ana mawazo haitaji kusikia sauti ya mtu then akasema anaomba tuachane hana sababu ila anataka iwe hivyo.nimembembeleza anipe sababu ya msingi au atulize akili kama kuna tatizo tujadiliane akawa hanielewi nimekubali kuachana nae simpigii simu kama nlivyoambiwa namsumbua.
hivi karibuni kuna mwanaume mwingine kaja anaonyesha ananipenda ananijali ana kila sifa lakini siko tayari kumkubalia kuwa naye bado namuwaza ex wangu nkiangalia matendo yake na huyu kamzidi ex wangu sihitaji kuwa na uhusiano na ex wangu tena na siko huru kuanza mahusiano na mtu mwingine.Naombeni ushauri wenu nifanyaje
kama haupo tayari bora utulie tu,give yourself tym to thnk na umjue huyo mpnz mpya vzuri..ucje make mistakes..cz most ppo rush in 2 new relation kwa sabab wanataka kumsahau x,au kuondoa upweke..at the end wanaumia au kuwaumiza wengn..if yur lookng 4 future better 2wait,befriend na huyo mpya,enjoy company,msome vzuri,mshilikishe mungu pia..am shure atakuonyesha kama huyo ndo mume bora aliekuandalia,ucje kubaka ubavu,utasuffer tena.
Sio kwamba sipendi kuendelea mbele coz nshaona nilikuwa kwenye wrong relationship sina trust kwa huyu mpya labda anaigiza naogopa kufall kwake