Kheri Hansen
JF-Expert Member
- Jan 20, 2018
- 1,025
- 1,235
Wakuu,
Mwenzenu magonjwa madogo madogo k.v. Kichwa kuuma, Kifua kubana, Msongo wa mawazao, na hata Maumivu ya Tumbo...huwa natuliza kwa Shots kadhaa za Konyagi, Malaria ndo ishaji-ban kabisa maana ishasalimu amri kwa Bapa ndogo ya Konyagi, huu mwaka wa pili sijui hata ilienda wapi wakati Mbu wanang'ata kila siku.
Sasa naumwa tumbo wakuu, kila likikaza nalegeza kwa shots za Konyagi, naendelea na kazi. tatizo ni la kuharishaaa.....yaani hata niwe kwenye gari, ghafla mzigo unagonga hodi, sasa hapo dawa sio Konyagi tena, ni CHOO tu. So kwa mantiki hiyo inabidi nitafute dwa.
Kwa anyejua dawa nzuri isiyo na mavidonge mengi anijulishe wadau.