Alvin Slain
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 6,375
- 3,668
- Thread starter
-
- #21
Unauliza mavi ya mbuzi nani kanya tusemaje sasa?[ Tumia hata tafsida kidogo ndugu. Hujui hili jukwaa kila rika linachungulia? Ni vema na busara ukaficha Upumbavu japo mara moja kwa mwezi!
Mwanamke ni bora akupende kuliko wewe kumpenda. Changa karata, jiongeze acha kuwa unagegeda gegeda bila mpango then unakuja kuuliza utumbo wako jamvini. Kama hizi ndo type za kuoa, wadada kuweni makini sana.[ nia yangu si kugegeda msichana then nimuche ndugu
Wanajamvi hebu tiririkeni maana sijui nichukue uamuzi gan. Kwa kifupi kuna wadada nina uhusiano nao wa karibu. Sasa mmoja kati ya ananipenda zaidi ya kupenda. Hata hivyo huyu sina mpango naye japokuwa ananipenda. Huyu ninayempenda anaonekana kupenda vitu vya hali ya juu na sifa asizokuwa nazo. Sasa hapa sijui niende kule ninakopendwa ama nilikopenda?
badili dini uoe wote.....[ kivp mkuu sijaelewa.
ndugu watu ambao wewe unawapenda na unahisi una mpango nao ni pasua kichwa sana. atakuja kukuacha kwenye point ya muhimu sana na ukajutia kumpenda na kumuacha yule anayekupenda kwa dhati. mimi mwenyewe ni mwathirika wa hii kitu na mpaka leo najutia na nimekosa kabisa mvuto na watu hawa japokuwa wapo wanaonitaka kwa wakati huu. kama unaona huyo anayekupenda anafaa kuwa nawe we mpe nafasi tu.Wanajamvi hebu tiririkeni maana sijui nichukue uamuzi gan. Kwa kifupi kuna wadada nina uhusiano nao wa karibu. Sasa mmoja kati ya ananipenda zaidi ya kupenda. Hata hivyo huyu sina mpango naye japokuwa ananipenda. Huyu ninayempenda anaonekana kupenda vitu vya hali ya juu na sifa asizokuwa nazo. Sasa hapa sijui niende kule ninakopendwa ama nilikopenda?
mith you...
kupendwa raha wewe!!!
nenda unapopendwa!!
​mith u tooo!!mith you...
Wanajamvi hebu tiririkeni maana sijui nichukue uamuzi gan. Kwa kifupi kuna wadada nina uhusiano nao wa karibu. Sasa mmoja kati ya ananipenda zaidi ya kupenda. Hata hivyo huyu sina mpango naye japokuwa ananipenda. Huyu ninayempenda anaonekana kupenda vitu vya hali ya juu na sifa asizokuwa nazo. Sasa hapa sijui niende kule ninakopendwa ama nilikopenda?
badili dini uoe wote.....[ kivp mkuu sijaelewa.
kama wewe ni mkristo, badili uwe muislam, kule rukhsa kuwa na double "K", halali kabisa...vigezo na masharti kuzingatiwa...
kama wewe ni mkristo, badili uwe muislam, kule rukhsa kuwa na double "K", halali kabisa...vigezo na masharti kuzingatiwa...[sina hila ya fisi.