Alvin Slain
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 6,375
- 3,668
Wanajamvi hebu tiririkeni maana sijui nichukue uamuzi gan. Kwa kifupi kuna wadada nina uhusiano nao wa karibu. Sasa mmoja kati ya ananipenda zaidi ya kupenda. Hata hivyo huyu sina mpango naye japokuwa ananipenda. Huyu ninayempenda anaonekana kupenda vitu vya hali ya juu na sifa asizokuwa nazo. Sasa hapa sijui niende kule ninakopendwa ama nilikopenda?
mwanaume mwenye akili timamu hawezi uliza swali la kitoto kama hilo, ukiona moto na maji utaenda wapi???[ Kinachohitajika ni maoni yako ndugu.Sidhan kama ukisema swali ni la kitoto linafuta mada yangu.
tafuta mzee unayemheshimu umuulize hilo swali then uje unipe jibu .nafikiri atakupa jibu sahihiwanajamvi hebu tiririkeni maana sijui nichukue uamuzi gan. Kwa kifupi kuna wadada nina uhusiano nao wa karibu. Sasa mmoja kati ya ananipenda zaidi ya kupenda. Hata hivyo huyu sina mpango naye japokuwa ananipenda. Huyu ninayempenda anaonekana kupenda vitu vya hali ya juu na sifa asizokuwa nazo. Sasa hapa sijui niende kule ninakopendwa ama nilikopenda?
tafuta mzee unayemheshimu umuulize hilo swali then uje unipe jibu .nafikiri atakupa jibu sahihi[siku hz wazee nao ni magumash
Heading VS main question are inconsistency....!Wanajamvi hebu tiririkeni maana sijui nichukue uamuzi gan. Kwa kifupi kuna wadada nina uhusiano nao wa karibu. Sasa mmoja kati ya ananipenda zaidi ya kupenda. Hata hivyo huyu sina mpango naye japokuwa ananipenda. Huyu ninayempenda anaonekana kupenda vitu vya hali ya juu na sifa asizokuwa nazo. Sasa hapa sijui niende kule ninakopendwa ama nilikopenda?
Kipi muhimu kwako KUPENDA (angalia feelings zilizokuwa associated na kupenda na kuwa na unayempenda)
au KUPENDWA (angalia care na pamparing utakazo zipata)
lakini kumbuka katika
KUPENDA, kuna kuwa taken for granted, na kuchuniwa
KUPENDWA kuna kukerekwa kwa unwanted attentions
Jamani, napendwa hadi nakoma
Hadi naona feki, not used to too much attention
i have been there, so l know how irritating it can be; lakini nami for the first time nimempenda mtu ambaye harudishi upendo back and it hurts a lot.
so ukiniambia nichoose kati ya nilikokuwa na nilipo sasa; napata kigugumizi; maana nilikotoka kuna maudhi yake sana, hapa nilipo ni maumivu ingawa ninaanza (na ninaelekea kushinda) kupunguza kupenda ili niweze survive.
Kuna raha ya kupendwa wewe, jaribu kupunguza vigezo vyako na umzoee huyo akupendaye hakika hutajuta[ Thanks a Milions.