Nidhamu ni nini!?

Principal Focus

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2013
Posts
925
Reaction score
550
Nidhamu ni kufanya kitu kwa weledi bila kusimamiwa.
Utovu wa nidhamu ni nini!? Ni kufanya vitu kwa kusudi bila kuheshimu nani anakutazama.
Kuwa na nidhamu kwa kila kitu unachofanya hata usipotazamwa na mtu maana nafsi yako utaitendea mema. Usiongopee nafsi yako mwenyewe kwa kujifariji ujinga.
 
Nidhamu ni kufuata maelekezo unayopewa na wakubwa zako
 
Nidham ni kufanya vitu kwa mda sahih na kwa mda mwafaka
 
weledi ni nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…