lugoda12 JF-Expert Member Joined Jul 28, 2018 Posts 322 Reaction score 656 4 minutes ago #1 Naomba kuuliza kwa wadau utaratibu wa kupata NIDA mpya upoje?
Bikra unayo JF-Expert Member Joined Mar 24, 2026 Posts 754 Reaction score 2,756 2 minutes ago #2 Hayo majina anayeyamiliki anatakiwa awe na sura personal pia.
ShesRise_1 JF-Expert Member Joined Aug 21, 2025 Posts 23,261 Reaction score 53,311 2 minutes ago #3 Huyu ni wewe? Kuficha sura na kuacha taarifa kama hizo ni sawa na kuficha kicwa na kuacha makalio njee
Huyu ni wewe? Kuficha sura na kuacha taarifa kama hizo ni sawa na kuficha kicwa na kuacha makalio njee