Ndugu wanabodi leo nikiwa ofisi za mamlaka ya vitambulisho Kinondoni,nimeshuhudia mgeni akipigwa picha tayari kupatiwa kitambulisho.Aliletwa na Mtanzania na wala hakukaa kwenye foleni,alipofika kwa mpiga picha aliulizwa umeajiriwa? hakujibu ndipo afisa akauliza tena kwa kizungu cha ugoko "you employed? mzungu hakujibu,afisa mwingine mnene mweupe akambonyeza mwenziye aendelee na zoezi.Mzungu akafanikiwa akasepa huku akisindikizwa na wabongo wawili.Jamani NIDA waangaliwe vizuri.
Ndugu wanabodi leo nikiwa ofisi za mamlaka ya vitambulisho Kinondoni,nimeshuhudia mgeni akipigwa picha tayari kupatiwa kitambulisho.
Ndugu wanabodi leo nikiwa ofisi za mamlaka ya vitambulisho Kinondoni,nimeshuhudia mgeni akipigwa picha tayari kupatiwa kitambulisho.Aliletwa na Mtanzania na wala hakukaa kwenye foleni,alipofika kwa mpiga picha aliulizwa umeajiriwa? hakujibu ndipo afisa akauliza tena kwa kizungu cha ugoko "you employed? mzungu hakujibu,afisa mwingine mnene mweupe akambonyeza mwenziye aendelee na zoezi.Mzungu akafanikiwa akasepa huku akisindikizwa na wabongo wawili.Jamani NIDA waangaliwe vizuri.
Ndugu wanabodi leo nikiwa ofisi za mamlaka ya vitambulisho Kinondoni,nimeshuhudia mgeni akipigwa picha tayari kupatiwa kitambulisho.Aliletwa na Mtanzania na wala hakukaa kwenye foleni,alipofika kwa mpiga picha aliulizwa umeajiriwa? hakujibu ndipo afisa akauliza tena kwa kizungu cha ugoko "you employed? mzungu hakujibu,afisa mwingine mnene mweupe akambonyeza mwenziye aendelee na zoezi.Mzungu akafanikiwa akasepa huku akisindikizwa na wabongo wawili.Jamani NIDA waangaliwe vizuri.
ebu nifumbue macho na mimi, kwani ni kosa kwa huyo uliyemwita mgeni kupata id? toa sababu,
kwani huyo mtu akipewa uraia wa tz nida hawapaswi kumpa id? toa sababu pia, au kiingereza kilikupa presha?

Tujielimishe na kujiridhisha kabla ya kupost. NIDA wanatoa vitambulisho kwa raia na wageni waliopo nchini ambao watakaa kwa muda mrefu kwa shughuli maalumu. Hivyo si kila anayapewa ID ni ya uraia. Asante

Asante ndugu,ila nakwambia niliyoyaona ni mengi na hicho unachosema ni formality tu,je utaratibu unafuatwa.Kwani kuna tabu gani wageni wakefuata utaratibu.Pia elewa hakuna anaesema wageni wasipewe id.

Ohoooo!! Sasa hebu specify hivyo vitambulisho vya NIDA ni vya nini haswa?