Kwanini wayafanye hayo , taasisi nyeti kama hiii kweli ????
Sawa aiseee jamaaaSasa tunakwenda kuwapa madudu yanayofanywa na kiongozi wao Arusha ili wakiamua waelewe kwamba watu wanahitaji huduma na si upumbavu mwingine wowote.
pole sana mkuu ila kuhusu nida jipu kubwa si arusha tu ata morogoro akuna wanacho fanya alafu wizara husika imefumbia macho
Hili halina ukweli njoo inboxTatizo lilik o Arusha ni siyo la kitaasisi bali ni suala la mtu binafsi anayefanya atakavyo kwa maslahi yake biinafsi bila hata hisia kwamba anayoyafanya ni kinyume na misingi ya kazi popote pale. Nimeambiwa kwamba kwa kuwa ni wachagga, hakuna mtu atawafanaya kti maana hata wakubwa wa NIDA ni wachagga na wamekuwa wakiendsha hivyo mambo kwa muda mrefu. Sasa nataka kuona kama uovu huu nitakaokwenda kuwapa wataufumbia macho kwa kuwa ni Wachagga.
Hebu sasa niambie ukweli unaosababisha NIDA Arusha kuwa na uongozi wa ajabu namna ile. Niambie Inbox.Hili halina ukweli njoo inbox
Nida huku kwetu pia ni chenga2 watu wa wilaya ya kinondoni tuliochaguliwa baada ya usaili hatujui project imekwamia wp almost ni mwezi wa 5 nw hatujui inaanza lini kazi
Nida ni jipu sana hawa wadada wa nida unaenda kuulizia kitambulisho utafikiri umeenda kuwaomba kazi aisee wana jiskia na hali wana sura za mbuzi tu wanaboa sana kwa kweliWana Jamvi habarini za kazi.
Nimefika hapa Arusha wiki moja iliyopita katika kufanya maandalizi ya safari na jamaa zangu. Kwa masikitiko sana jamaa yetu mmoja anayefanya kwenye taasisi moja hapa Arusha anaelekea kukwama kwa kukosa passport kiini cha tatizo kikiwa ni madudu ya Uongozi wa NIDA Arusha. Nimelifuatilia hili suala kwa karibu nikaona mambo mengi yanayofanywa na ofisi ya NIDA Arusha ambayo kuyafumbia macho si rahisi.
Hatuwezi kunyamaza tunapoona ofisi zinazoendeshwa kwa kodi zetu, zikiendeshwa kama idara za familia. Kuendelea kufumbia macho uchafu kama niliouona ni kuhalalisha mfumo unaotugharimu Watanzania wa kutokuwa na uwajibikaji na watu kutumia madaraka kwa utashi wao huku wakihujumu haki za kiraia za watu wengine.
Niaomba mwenye mawasiliano ya kiongozi wa juu wa NIDA asiyekuwa mchaga, anitumie ili niwasiliane naye. Sitaki kuweka hapa undani wa nilyoyakuta hapa kwa sababu naogopa kutoa mwanya kwa wahusika kuharibu ushahidi. Ninataka matatizo hayo yabaki kama yalivyo ili vyombo vinavyohusika vijionee na kuweza kuchukua hatua sahihi za kukomesha hizi tabia za matumizi mabaya ya madaraka ikiwa ni pamoja na unyanyasaji wa wananchi katika kupata haki zao za kiraia.
Narudia kusema, nainaomba mawasiliano ya Simu ya kiongozi wa juu wa NIDA asiyekuwa Mchagga, nikiwa na maana kamili ili niwasiliane naye juu ya hali iliyopo, kabla sijalifikisha hili suala kwenye vyombo vingine.
TUMECHOKA. NI WAKATI WA WATANZANIA KUDAI HAKI ZAO MCHANA.
Nida ni jipu sana hawa wadada wa nida unaenda kuulizia kitambulisho utafikiri umeenda kuwaomba kazi aisee wana jiskia na hali wana sura za mbuzi tu wanaboa sana kwa kweli
Kuna siku nimeenda mkoani songwe hapa vwawa kuulizia kitambulisho wamenijibu shombo sana mpaka nikasema siji kufatilia tena hicho kitambulisho wakae nacho tu