Nickon camera 3000D inauzwa iko katika hali nzuri, imetumika wiki moja tu.... Specifications zake na picha apoo chini unaweza kucheki... Bei ni Laki7 kamili, Bei inapungua kwa alie serious.... Unaweza kunicheki whatsapp 0714132075
jaman mimi najuaga ukubwa na ubora wa camera ni mega pixels sasa hapo naona camera ina mega pixel 10 akati cm yangu tu ina pixels 16 tofauti n n n nipen shule