Nia anayo

Na akiwezeshwa anaweza,
Lakini je Syllabus makini ya kumuwezesha ipo?
 
Asante sana mkuu kwa picha hiyo:
*Jasho linamtoka, huenda kwa sababu ya ugumu wa maswali.
*Jasho linamtoka, huenda kwa sababu ya jua, ametoka kucheza na sasa ndo wamerudi darasani wanakuta maswali magumu ubaoni.
*Jasho linamtoka huenda anawaza viboko vya mpera baada ya mwalimu kusahihisha.
 
ha ha ha sina cha kuongeza
 
ndoto ni kuona wote wanasoma katika mazingira sawa i.e kanumba na st. nanihi,ziwe sawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…