Habari zenu!
Kama kichwa cha habari kinavyosema, naomba mwenye kujua anifahamishe nikachukue nami nakala yangu.
Nilikuwa naangalia EATV, nimemuona mtangazaji wa HotMix akiwa na kakitabu kake ka katiba ya 1977 ya JMT.
Asante!
Pia waweza angalia ofisi ya Serikali ya mtaa na / au ofisi ya kata. Huenda vikawa vya bure vimebaki, wakati ule wa mchakato wa kutengeneza rasimu mpya ya katiba vilikuwepo viingi tu, mie nilijipatia kimoja cha ziada huko.