kinyamkela mahaba
JF-Expert Member
- May 4, 2022
- 1,180
- 1,599
30 minInakaa na betry mda gani?
Aisee.! Pambana uongeze hela upate laptop nzuri dogoJmn siwez pata laptop ya laki 1 nataka niende chuo ila uwezo mdogo nmechaguliwa coz ya IT lazima uwe na laptop
Aisee hela n kipengele broh ningekuwa nayo ningechukua hata laptop ya laki 8Aisee.! Pambana uongeze hela upate laptop nzuri dogo
Una laki 1 only?Aisee hela n kipengele broh ningekuwa nayo ningechukua hata laptop ya laki 8
Ipo lkn kwa ww mwanafunzi wa IT haikufai maana ina ram ndogo na processing speed ni ndogo.Jmn siwez pata laptop ya laki 1 nataka niende chuo ila uwezo mdogo nmechaguliwa coz ya IT lazima uwe na laptop