Ni vile tu misifa hata kama tunafeli

Kwan wana dira bas ya kimaendeleo? Yanafanyika hayo angalau kupata sapoti ya wananchi kweny kura!! Taifa la Tanzania haliwez fanikiwa kimaendeleo cz halina dira ya maendeleo kila Rais anakuja na kupuyanga na idea zake!!
 
Halafu hata akipuyanga vipi.....wapo machawa wasioweza kumshauri Bali wao kutega midomo tu
 
Acha uongo wako hapa .kwa sasa hakuna mrundikano wa wanafunzi madarasani kutokana na serikali ya Rais samia kujenga vyumba vya madarasa zaidi ya elfu ishirini pamoja na kuongeza Elfu moja muda siyo mrefu.lakini pia unaposema vifaa vya kufundishia sijuwi unataka kutupa ujumbe gani maana naona unaropoka na kukurupuka tu pasipo ushahidi wala hoja yenye mashiko
 
Umemjibu vizuri, swadakta!
 
Wewe nadhani unachukulia hizi shule ni za private . Nina uhakika na ushahidi nitatupia
 
Kipaombele cha CCM ni kushinda uchaguzi,basi!!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…