Mwaka? bado yupo sawa. Hata miezi 12 sio mbaya. Kwanza huyo anaetembea akishikilia ukuta atatembea tu. wala msiwe na wasiwasi
hahahahahahahaha...Atatembe usihofu. Mi nilichelewa kuongea hadi watu wakafikiri nitakuwa bubu.
Atatembe usihofu. Mi nilichelewa kuongea hadi watu wakafikiri nitakuwa bubu.
hahahahahahahaha...
Na ulivyoanza kuongea ukawa kama umetiwa funguo hahahahahah lol! Nasikia Mama akawa anasema huyu tangu ajue kuongea imekuwa shida tupu! .
sikucheki mpendwa ila nlitaka sema kama BAK....usinicheke jamani.
yaaani kama ulikuwepo. Nilikuwa natema cheche balaa ila siku hizi siongei ongei sana.
sikucheki mpendwa ila nlitaka sema kama BAK....
Naam ndio huwa hivyo.....Mhhhhh ya kweli hayo? Mbona bado unaendelea kutema cheche hapa JF?
we mwenzio siku hizi sio mwongeaji hadi najiona zoba.
Bado kidogo niwe bubu kama wewe.
Mie siku hizi naongea ububu ulipotea ghafla tu....Miujiza ya muumba wetu lol!